User avatar
makoba
Topic Author
Posts: 576
Joined: Wed Jul 26, 2017 10:25 am
Location: Dar es salaam
Contact:

UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 3:22 pm

Kufahamiana ni jambo jema. Naomba 'mods' wasiufute uzi huu, badala yake utumike kwa ajili ya kujitambulisha wageni wote wanaojiunga humu. Nawasilisha kwenu!...
WAVUMILIENI! WANAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WAPATE PESA ZA KUNUNULIA NGUO!
 
User avatar
Marunde
Posts: 15
Joined: Sat Jul 15, 2017 1:22 pm
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 3:28 pm

kwa majina Ally Marunde
mimi Mrangi wa Dodoma kondoa
Napenda stori za Global Publishers
 
Neema
Posts: 5
Joined: Mon Aug 07, 2017 10:17 am
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 3:32 pm

Duuu! Haya jamani
mimi naitwa Neema Mahemu
natokea Korogwe, Tanga
mimi Msambaa
ni mdau wa Globalpublishers hasa kwenye gazeti lenu la Risasi(Mwanamke Popote Ulipo)
 
ashaboko
Posts: 5
Joined: Fri Aug 11, 2017 3:34 pm
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 3:44 pm

Asha Boko wa Dar
 
jitu kubwa
Posts: 2
Joined: Fri Aug 11, 2017 4:01 pm
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 4:12 pm

jina langu linasomeka hapo juu Jitu kubwa nipo mbeya karibuni
 
Jorome
Posts: 2
Joined: Fri Aug 11, 2017 4:05 pm
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 4:16 pm

my name is Jarome Michael
 
User avatar
makoba
Topic Author
Posts: 576
Joined: Wed Jul 26, 2017 10:25 am
Location: Dar es salaam
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 4:18 pm

kwa majina Ally Marunde
mimi Mrangi wa Dodoma kondoa
Napenda stori za Global Publishers
karibu sana mkuu!
WAVUMILIENI! WANAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WAPATE PESA ZA KUNUNULIA NGUO!
 
User avatar
makoba
Topic Author
Posts: 576
Joined: Wed Jul 26, 2017 10:25 am
Location: Dar es salaam
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 4:23 pm

Duuu! Haya jamani
mimi naitwa Neema Mahemu
natokea Korogwe, Tanga
mimi Msambaa
ni mdau wa Globalpublishers hasa kwenye gazeti lenu la Risasi(Mwanamke Popote Ulipo)
karibu sana bibie!
WAVUMILIENI! WANAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WAPATE PESA ZA KUNUNULIA NGUO!
 
User avatar
makoba
Topic Author
Posts: 576
Joined: Wed Jul 26, 2017 10:25 am
Location: Dar es salaam
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 4:25 pm

Asha Boko wa Dar
Msaimie Mwajuma Ndala ndefu...
WAVUMILIENI! WANAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WAPATE PESA ZA KUNUNULIA NGUO!
 
User avatar
makoba
Topic Author
Posts: 576
Joined: Wed Jul 26, 2017 10:25 am
Location: Dar es salaam
Contact:

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Fri Aug 11, 2017 4:27 pm

jina langu linasomeka hapo juu Jitu kubwa nipo mbeya karibuni
:lol:
WAVUMILIENI! WANAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WAPATE PESA ZA KUNUNULIA NGUO!

Trending Topics