User avatar
makoba
Topic Author
Posts: 301
Joined: Wed Jul 26, 2017 10:25 am
Location: Dar es salaam
Contact:

VICHEKESHO NANE VINAVYOTAMBA MTAANI: VUNJA MBAVU!

Fri Aug 04, 2017 11:33 am

wanacheka.jpg
wanacheka.jpg (374.82 KiB)
MWALIMU: Alex, simba akianza kukufukuza utafanya nini?
Alex: Nitapanda juu ya mti.
Mwalimu: Je, na simba naye akipanda juu ya mti?
Alex: Nitakimbilia mtoni niogelee.
Mwalimu: Je simba naye akikufuata mtoni?
Alex: Mwalimu uko upande wangu au wa simba? Maana sikuelewi kabisa, kila ninavyojaribu kumkwepa simba we unamwelekeza niliko, kama hunipendi sema tu.


Kama hukuwahi kupata mia darasani usijali, utapata ukiwa unachaji simu.

                 
Ukimpa ‘demu’ hela mzazi wake hata hamuulizi, mpe mimba uone, utatafutwa hadi ‘Google’.
                       

Kumbe bangi haina madhara... nimetoka kuvuta pafu moja nipo fresh kabisa bila tatizo..saivi nimekaa juu ya tv naangalia makochi.
   
                     
Dua zenu jamani nipo ugenini nimefumwa naongeza maji ya ugali nijitetee vipi?

                       
Nimepika ugali ya watu wawili nikakula ya mtu mmoja nikashiba alafu nikatoka nje nikabisha mlango kama mgeni, nikaingia na nikakula iyo ingine! Mwili haijengwi na mbao.


Mnamkumbuka yule Subira aliyekuwa anavuta heri? Siku hizi anavuta bangi!

                      
Hali ya sasa hivi hata uvunje nazi njia panda mtu anaokota anaenda kuungia mboga                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                       
WAVUMILIENI! WANAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WAPATE PESA ZA KUNUNULIA NGUO!

Trending Topics