User avatar
makoba
Topic Author
Posts: 301
Joined: Wed Jul 26, 2017 10:25 am
Location: Dar es salaam
Contact:

TOKA BOMBA NA MCHANGANYIKO WA LIPSTICK

Tue Aug 08, 2017 4:49 pm

LEO kwenye safu yetu hii tutaona jinsi ya kuchanganya lipstick kuleta muonekano bomba kwenye mdomo wako cha muhimu ni kujua umevaa nini na rangi gani ukizichanganya zinaweza kuleta mvuto. Wanawake wengi tunapenda kupendeza, kuchanganya rangi utakuwa na mvuto sana lakini nakukumbusha tu usije changanya rangi kila wakati unachotakiwa katika uchanganyaji huu ni shughuli maalum kwani mara nyingi wanaochanganya rangi ni wanamitindo kwani huvaa nguo mbalimbali au huonesha ubora wa bidhaa inayokuwa inauzwa kwa wakati huo.

Hukatazwi kufanya ‘art’ ya mdomo wako kama una shughuli utapendeza na kuonekana wa tofauti kabisa. Angalia picha zilizopo hapo kuona uzuri na urembo huu ulivyo na mvuto unaweza kuwashangaza watu siku moja lakini kwa shughuli maalumu.
Na: HAMIDA HASSAN +255 788 224 474
WAVUMILIENI! WANAPIGA PICHA ZA UTUPU ILI WAPATE PESA ZA KUNUNULIA NGUO!

Trending Topics