ZINGATIA HAYA KABLA HUJAFANYA MAAMUZI YA KUJIUNGA NA FORUM YETU


  1. 1.Kumvunjia heshima, kumkejeli, kumtukana, mjumbe yeyote.
  2. 2. Kuleta katika FORUMS maelezo yenye maudhui mabaya, au kuweza kuleta maudhi yoyote kwa wajumbe ama kwa wingi wake, ukubwa wake, au mfumo wake.
  3. 3. Kuleta makala au kuendeleza mijadala yenye kuleta ugomvi, uchochezi na yenye muelekeo wa kutengenishana badala ya kuungana miongoni mwa wajumbe wa FORUMS na Watu wote kwa ujumla.
  4. 4. Kuleta maongezi binafsi baina ya mwanachama na mwanachama (waliojisajili) waliyoongea kwa kuaminiana kutoka katika Private Messages (PM) au barua pepe (Emails) na kuyaanika hadharani kwa nia ya kuchafuana.
  5. 5. Kusambaza kwa makusudi au kwa uzembe barua zenye virusi vya kompyuta.
  6. 6. Kutoa maelezo au shutuma dhidi ya mwanachama mwenzako, kiongozi wa au watu wenye hadhi kijamii bila kuwa na ushahidi wa kutosha kwa lengo la kuchafua rekodi safi ya mhusika kijamii.
  7. 7. Ni sharti kwa kila mwanachama kutoa maelezo au mchango wake kwa uwazi na ukweli na kutomuogopa yeyote wala kumpendelea yeyote bali kuweka mbele maslahi ya taifa.
  8. 8. Kila mwanachama yupo huru kutoa maoni yake mradi yaliyotajwa hapo juu yanazingatiwa. Kama umekubaliana na hayo yaliyotajwa hapo juu basi Bofya kitufe cha

  9. “I gree to these term”