• 1
  • 2
by Marunde
Fri Aug 11, 2017 3:28 pm
Forum: Chit-Chat
Topic: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!
Replies: 11
Views: 394

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

kwa majina Ally Marunde
mimi Mrangi wa Dodoma kondoa
Napenda stori za Global Publishers
by Marunde
Mon Aug 07, 2017 10:15 am
Forum: Jamvi La Wabobezi
Topic: TULIPOFIKIA, WANAWAKE NI HATARI KWA VIZAZI VIJAVYO!
Replies: 8
Views: 154

Re: TULIPOFIKIA, WANAWAKE NI HATARI KWA VIZAZI VIJAVYO!

inasikitisha sana kiukweli
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:41 pm
Forum: Majadiliaono ya Habari za Kimataifa
Topic: Asali Yenye Miaka 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi
Replies: 0
Views: 116

Asali Yenye Miaka 2000 Yakutwa Kwenye Mapiramidi

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/HONEY-IN-EGYPT-PYRAMIDS-2-768x614.jpg M APIRAMIDI ya Misri ni miongoni mwa maajabu saba ya dunia lakini ndani yake, kumegunduliwa maajabu mengine yaliyowashangaza wengi. Mwaka 2006, wataalamu wa mambo ya kale waliokuwa wakifanya utafiti kwen...
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:36 pm
Forum: Nafasi za Kazi na Tenda
Topic:
Replies: -1
Views:

Nafasi ya kazi Global Publishers

Image
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:33 pm
Forum: Nafasi za Kazi na Tenda
Topic:
Replies: -1
Views:

Nafasi Ya Kazi Kutoka World Vision Tanzania

World Vision Tanzania MANAGER, MWANZO PROJECT Reference: 7646-17N24105 Location: Africa – Tanzania Town/City: Arusha Application Deadline Date: 01-Aug-17 Category: Programme Effectiveness Type: Fixed term, Full-time International Role: No – Only National applicants will be considered. Duration1-2 Y...
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:27 pm
Forum: Nafasi za Kazi na Tenda
Topic:
Replies: -1
Views:

Nafasi Ya Kazi Kutoka Exim Bank (Tanzania) Ltd

EXIM Bank(Tanzania) Ltd , an indigenous bank in Tanzania, ranking •5th in the country in terms of total assets, is engaged in providing commercial banking. services to the Retail, Mid & Large Corporate by offering a wide range of innovative products of international standards, in all verticals, inc...
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:24 pm
Forum: Jukwaa la Siasa
Topic: JPM: Sitoi Chakula cha Msaada Ng’o, Asiyefanya Kazi Asile, Asiyekula Afe!
Replies: 1
Views: 116

JPM: Sitoi Chakula cha Msaada Ng’o, Asiyefanya Kazi Asile, Asiyekula Afe!

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/magufuli-6.jpg Rais John Magufuli amesema serikali yake imedhamiria kumaliza tatizo la usafiri wa barabara nchini. Aidha amesema serikali yake haitatoa chakula cha msaada kwa wananchi wazembe ambao hawajitumi kufanya kazi. Hayo aliyasema wil...
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:22 pm
Forum: Entertainment
Topic: Kidoa: Bila Cheni Kiunoni Sijatimia!
Replies: 0
Views: 95

Kidoa: Bila Cheni Kiunoni Sijatimia!

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/KIDOA-2.jpg MUIGIZAJI ambaye pia ni Mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl 2015, Asha Salum ‘Kidoa’ amesema katika mwili wake atavaa vyote lakini bila kuwa na cheni kiunoni hujiona hajatimia. Akizungumza na Star Mix , Kidoa ambaye kwa sa...
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:18 pm
Forum: Jamvi La Wabobezi
Topic: Polisi Yaua Wawili Kibiti
Replies: 14
Views: 6362

Polisi Yaua Wawili Kibiti

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/kibiti-768x512.jpg Mkuu wa Operesheni Maalun za Jeshi la Polisi, Naibu kamishina wa Polisi (DCP) Liberatus Sabas akiwa katika eneo la tukio, (kushoto kwake ) ni Kamanda wa Kanda maalum ya Kipolisi Rufiji, Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Pol...
by Marunde
Fri Jul 21, 2017 2:13 pm
Forum: Sports
Topic: Utabiri Wa Matokeo Wa Baadhi Ya Mechi Za Wikiendi Hii
Replies: 0
Views: 135

Utabiri Wa Matokeo Wa Baadhi Ya Mechi Za Wikiendi Hii

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/07/651747350.0.jpg HUU ni utabiri wa matokeo wa baadhi ya mechi za wikiendi hii, kuna dondoo za jinsi kampuni za michezo ya kutabiri zilivyotoa alama (pointi) kwa wanaotaka kutabiri, uchache wa pointi unamaanisha timu ina nafasi kubwa ya kushin...
  • 1
  • 2