by Neema
Fri Aug 11, 2017 3:32 pm
Forum: Chit-Chat
Topic: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!
Replies: 11
Views: 394

Re: UZI MAALUMU WA KUTAMBULISHA WAGENI!

Duuu! Haya jamani
mimi naitwa Neema Mahemu
natokea Korogwe, Tanga
mimi Msambaa
ni mdau wa Globalpublishers hasa kwenye gazeti lenu la Risasi(Mwanamke Popote Ulipo)
by Neema
Mon Aug 07, 2017 12:13 pm
Forum: Jamvi La Wabobezi
Topic: Polisi Yaua Wawili Kibiti
Replies: 14
Views: 6360

Re: Polisi Yaua Wawili Kibiti

Jamaani Kibiti Mbona mnatutishia amani hivyo
by Neema
Mon Aug 07, 2017 10:22 am
Forum: Jamvi La Wabobezi
Topic: TULIPOFIKIA, WANAWAKE NI HATARI KWA VIZAZI VIJAVYO!
Replies: 8
Views: 154

Re: TULIPOFIKIA, WANAWAKE NI HATARI KWA VIZAZI VIJAVYO!

Ni kweli kabisa jamani sisi wanawake  tunatakiwa kuwa mfano wa kuigwa kwa vizazi vyetu, msiba wa Norah ulijaa watoto ambao ni wanafunzi