• 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 31
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:26 pm
Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Topic: RAIS WA ZAMBIA ATANGAZA KILA MWANANCHI NI LAZIMA APIMWE UKIMWI
Replies: 0
Views: 28

RAIS WA ZAMBIA ATANGAZA KILA MWANANCHI NI LAZIMA APIMWE UKIMWI

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/Edgar-Lungu-.jpg Rais wa Zambia, Edgar Lungu. Rais wa Zambia, Edgar Lungu, ametangaza kwamba wananchi wote wanaofika katika vituo vya afya vya serikali wapimwe virusi vya Ukimwi kwa lazima, wapatiwe ushauri nasaha na tiba. Rais Lungu amesema...
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:24 pm
Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Topic: DAKTARI ATEKWA KAMA ROMA
Replies: 0
Views: 27

DAKTARI ATEKWA KAMA ROMA

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/IMG_3302.jpg Daktari anayedaiwa kutekwa   DAR ES SALAAM: Ikiwa ni siku chache tu tangu msanii mkali wa Hip Hop, Roma Mkatoliki atoe kibao chake kipya kiitwacho Zimbabwe, kinachozungumzia pamoja na mambo mengine, juu ya tukio la kutekwa kwake...
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:23 pm
Forum: Sports
Topic: TSHISHIMBI ASAINI YANGA, AWATISHA OKWI, NIYONZIMA
Replies: 0
Views: 27

TSHISHIMBI ASAINI YANGA, AWATISHA OKWI, NIYONZIMA

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/tshishimbi.jpg Kiungo mpya wa Yanga raia wa Congo, Papy Kabamba Tshishimbi. KAZI imeanza sasa! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya  kiungo mpya wa Yanga  raia wa  Congo, Papy Kabamba Tshishimbi , kujiunga na timu hiyo jana  Jumanne,  tay...
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:20 pm
Forum: Sports
Topic: KWA TAKWIMU AJIBU VS OKWI NI 100 KWA 100
Replies: 0
Views: 23

KWA TAKWIMU AJIBU VS OKWI NI 100 KWA 100

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/ibrahim-ajibu-yanga_9pgwu9beoe5a19wfxzp4zebfa.jpg Ibrahim Ajibu wa Yanga. WAKATI vikosi vya Simba na Yanga vikiwa kwenye maandalizi kabambe kwa ajili ya mechi ya Ngao ya Jamii, takwimu zinaonyesha washambuliaji wawili wa timu hizo, Ibrahim A...
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:18 pm
Forum: Sports
Topic: LWANDAMINA: HUYU OKWI HATARI
Replies: 0
Views: 17

LWANDAMINA: HUYU OKWI HATARI

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/06/emmanuel-okwi-sonderjyske_155fbdevzxapt17whyz0r3vzp4.png Mshambuliaji wa Simba Mganda, Emmanuel Okwi. KOCHA mkuu wa Yanga, Mzambia,  George Lwandamina,  amefunguka kuwa makosa madogomadogo wanayoyafanya safu yake ya ulinzi yanampa presha kue...
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:16 pm
Forum: Celebrities Forum
Topic: GIGY MONEY, BARNABA WADAI SI WAPENZI
Replies: 0
Views: 34

GIGY MONEY, BARNABA WADAI SI WAPENZI

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/Gigy-Money-1.jpg Gigy Money BAADA ya Gigy Money na Barnaba  kupiga picha wakiwa wamepakatana na kuzua gumzo kwenye mitandao ya kijamii wakidaiwa kwamba ni wapenzi, Elias Barnaba ‘Barnaba’ na muuza sura Gift Stanford ‘Gigy Money’ wameibuka na...
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:15 pm
Forum: Celebrities Forum
Topic: MAN WATER AFUNGUKIA KUPOTEA KWA MR NICE, 20 PERCENT
Replies: 0
Views: 30

MAN WATER AFUNGUKIA KUPOTEA KWA MR NICE, 20 PERCENT

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/20.jpg Man Water kushoto akiwa na 20 Percent. MAN Water si jina geni kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva. Hili ni jina la prodyuza na mmiliki wa Studio ya Combination Sound yenye makazi yake mitaa ya Kinondoni, Dar. Lakini pia uzito wa umaa...
by makoba
Wed Aug 16, 2017 2:13 pm
Forum: Celebrities Forum
Topic: FAIZA: MNIACHE NI LIFE STYLE YANGU
Replies: 0
Views: 31

FAIZA: MNIACHE NI LIFE STYLE YANGU

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/faiza-ally.jpg Mwanadada asiyeishiwa vituko, ‘Faiza’ katika pozi matata MUIGIZAJI anayejipatia umaarufu kutokana na vituko, Faiza Ally amewataka watu wanaomkosoa kuachana naye kwa vile hayo ndiyo aina ya maisha aliyoamua kuishi ( life style ...
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 31