• 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 58
by makoba
Sat Sep 09, 2017 2:28 pm
Forum: Nafasi za Kazi na Tenda
Topic: NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA-PWANI
Replies: 4
Views: 35

NAFASI ZA KAZI HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBAHA-PWANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Kibaha anapenda kuwatangazia nafasi za kazi Watanzania wenye sifa kama ifuatavyo:- https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/09/KAZI-2.jpg https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/09/KAZI-3.jpg https://globalpublishers.co.tz/wp-...
by makoba
Sat Sep 09, 2017 2:24 pm
Forum: Sports
Topic: Mavugo Apiga Mabao Saba, Gyan Apiga Bao La Kideo Mazoezini
Replies: 0
Views: 22

Mavugo Apiga Mabao Saba, Gyan Apiga Bao La Kideo Mazoezini

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/06/MAVUGO-NA-KICHUYA.jpg Wachezaji wa timu ya simba wakishangilia. MAMBO yameanza kuwa mazuri kwani straika wa Simba, Mrundi, Laudit Mavugo, jana Ijumaa aliwashangaza wengi katika mazoezi ya timu hiyo baada ya kufunga mabao saba. Simba, jana il...
by makoba
Sat Sep 09, 2017 2:17 pm
Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Topic: Maghorofa, Magari ya Lugumi Yapigwa Mnada Dar
Replies: 4
Views: 35

Maghorofa, Magari ya Lugumi Yapigwa Mnada Dar

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/09/Lugumi-3.jpg Mjengo wa Lugumi Mbweni jijini Dar es Salaam. KAMPUNI ya Udalali ya Yono leo Septemba 9, 2017 imepiga mnada maghorofa yanayomilikiwa na kampuni ya Lugumi. Maghorofa hayo mawili yapo maeneo tofauti moja likiwa Mtaa wa Mazengo Upa...
by makoba
Sat Sep 09, 2017 1:43 pm
Forum: Celebrities Forum
Topic: Don Williams Afariki Dunia
Replies: 0
Views: 13

Don Williams Afariki Dunia

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/09/Don-Williams.jpg Donald Ray Williams enzi za uhai wake.. MKALI wa muziki wa country, Donald Ray Williams ‘Don Williams’, amefariki dunia. Williams alifariki jana Ijumaa akiwa nyumbani kwake Alabama, nchini Marekani. Williams aliyekuwa maaruf...
by makoba
Sat Sep 09, 2017 1:42 pm
Forum: Sports
Topic: Chirwa Karudi Kuwafunga Njombe Mji
Replies: 0
Views: 14

Chirwa Karudi Kuwafunga Njombe Mji

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/04/obrey-chirwa_1r91i4zxshx741nq4k7i7f4ub1.jpg Mshambuliaji wa Yanga, Obrey Chirwa. YANGA sasa imekamilika kwani kesho Jumapili mshambuliaji wake , Obrey Chirwa anatarajiwa kuanza kucheza dhidi ya Njombe Mji na imethibitishwa yupo fiti kufanya ...
by makoba
Sat Sep 09, 2017 1:37 pm
Forum: Sports
Topic: Arsenal Ubingwa Nooo…!!
Replies: 0
Views: 15

Arsenal Ubingwa Nooo…!!

VIPIGO viwili kutoka kwa Stoke City na Liverpool vinaiweka Arsenal mahali pagumu ambako zipo sababu kibao zinazowafanya wasiweze kutwaa taji la Ligi Kuu England. Huu ni mwaka wa 13 sasa Arsenal haijatwaa tena taji la Ligi ya England ambayo ni maarufu kama Premier Leauge, na mbaya zaidi msimu huu wa ...
by makoba
Sat Sep 09, 2017 1:34 pm
Forum: Celebrities Forum
Topic: Uwoya Ajifananisha na Jini
Replies: 0
Views: 13

Uwoya Ajifananisha na Jini

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/06/Irene-Uwoya.jpg Irene Uwoya. STAA wa filamu za Bongo, Irene Uwoya ameibuka na kusema kuwa uzuri alionao unamfanya wakati mwingine ajifananishe na jini kwani uzuri wa sura yake umekuwa ukimfanya kila mtu amuangalie kitendo ambacho anakishukur...
by makoba
Sat Sep 09, 2017 1:31 pm
Forum: Sports
Topic: Mchezo Wa Azam, Simba Kupigwa Saa 10.00 Jioni
Replies: 0
Views: 15

Mchezo Wa Azam, Simba Kupigwa Saa 10.00 Jioni

https://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2017/08/simba-7-1.jpg Kikosi cha timu ya Simba wakiendelea na mazoezi. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya mabadiliko kidogo ya muda wa kuanza mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, kati ya Azam FC na Simba SC. Mchezo huo ut...
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 58