Serikali yaamua kuwatafuta waavaa nusu uchi

Discussion in 'Jammvi la Wabobezi' started by Emmanuel Jackson, Jan 8, 2018.

Tags:
 1. Emmanuel Jackson

  Emmanuel Jackson New Member

  [​IMG]
  Serikali ya Tanzania imekazia swala la wakinda dada kuvaa nusu uchi kwenye mitandao, na kwa kufanya hivyo imeaanza na warimbwende wachache kwa kuwapa onyo na adhabu mbali mbali, fuatilia maelezo ya naibu waziri wa sanaa na michezo Juliana Shonza alipo kuwa akiongea na waandishi wa habari mara baada ya kumpa adhabu msanii ajulikanae kama Pretty Kind.
  [​IMG]
   

Share This Page